MWANJAONECollection

Fashion, children's wear, underwear, pyjamas, shoes, bags and high-quality everyday products.

Tunauza jumla na rejareja Kariakoo. Pia tunapokea China CTN (carton) orders - ulizia bidhaa, size, rangi na stock ya leo WhatsApp.

DDC Building · Floor 2 · Room 170 Confirm Stock WhatsApp Jumla & Rejareja Get Directions
About Mwanja Collection

Biashara ya Kuaminika

Mwanja Collection imekuwa ikihudumia wateja wa jumla na rejareja kwa bidhaa za ubora. Tunajenga uaminifu kwa mawasiliano ya wazi, kuthibitisha stock, na huduma inayokusaidia kuchagua kwa uhakika.

Jumla & rejarejaCargo kwa mikoaChina CTN support
Ongea nasi WhatsApp
Mzigo Uliopo Leo

Catalogue ya Bidhaa

Chuja kwa category, tafuta product, kisha confirm size/rangi na bei ya jumla WhatsApp kabla ya kuja dukani.

Order WhatsApp

Ukiagiza

Order zinaenda moja kwa moja WhatsApp ili tuconfirm mzigo wa siku hiyo - size, rangi, quantity na bei ya jumla kabla hujaenda dukani.

Hatua

  1. Chagua bidhaa kwenye catalogue.
  2. Bonyeza “Order via WhatsApp”.
  3. Taja size, rangi, quantity na location.
  4. Tutakuthibitishia stock ya leo na pickup/delivery.

Size/Rangi

  • Shapewear: tuma size au body details.
  • Lingerie: ulizia cup, size na rangi zilizopo.
  • Kids: tuma umri au size ya mtoto.
  • Stationery/bags: ulizia character, color na box price.

Kabla ya Kuja

  • Confirm mzigo wa leo WhatsApp.
  • Taja size, rangi na quantity.
  • Bei ya jumla hutegemea mzigo.
  • Panga pickup au delivery.
Kwa Wafanyabiashara

Unachukua Jumla?

Bei ya jumla hubadilika kulingana na category, quantity na mzigo uliopo. Tuma category, quantity, location na kama unahitaji dozen/box/carton ili upewe bei ya siku.

Ulizia Bei ya Jumla
China CTN Orders

Agiza Carton Kutoka China

Kwa wafanyabiashara wanaotaka kuagiza kwa carton, tunakusaidia kuchagua bidhaa zinazofaa biashara yako na kuanzisha mazungumzo ya order kupitia WhatsApp.

1. Tuma bidhaa au category unayotaka2. Pata ushauri wa uchaguzi wa bidhaa3. Thibitisha maelezo ya order WhatsAppUlizia China CTN